Search This Blog

Wednesday, May 22, 2019


MAADHIMISHO NGAZI YA KANISA LA MAHALI PAMOJA
IBADA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 80 YA T.A.G(TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD)NA HITIMISHO LA MPANGO MKAKATI WA MIAKA 10 YA MAVUNO.

Sunday, December 30, 2018

Yamebaki masaa 16 kuufikia mwaka 2019.Usiku wa leo Morogoro yote tutakusanyika katika kanisa la New Jerusalem Christian Center (Sabasaba Morogoro Tanzania).  Embu wewe mtu wa Mungu usipange kukosa. Muda ni kuanzia saa 09:00 usiku njoo tumshukuru na kumtukuza Mungu wetu yeye aliye tuumba Wote mnakaribishwa
  (Kambi ya waebrania)

Wednesday, December 26, 2018

Don't plan to miss because we will done all of that things for the purpose of make God closer with us. New level start with new speed and work with holly spirit. We are the chosen generation. Pastor Anania Mtundu he will be present.

55:16 As for me, I will call upon God, and the Lord will save me.
55:17 Evening and morning and at noon will I utter my complaint and moan and sigh, and He will hear my voice.

Monday, July 2, 2018

POWER OF PRAISE CONCERT AT NEW JERUSALEM CHRISTIAN CENTER MOROGORO

POWER OF PRAISE

NI KATIKA KANISA LA NEW JERUSALEM CHRISTIAN CENTER
TAMASHA LILILO ANDALIWA NA KIKUNDI CHA ARMEE SEBEN NA LENGO LILIKUWA KUINUA VIPAWA MAKANISANI

Thursday, November 9, 2017

T.A.G MOROGORO




IBADA YA PILI 22/10/2017

        





RATIBA ZA IBADA

 

JUMAPILI

         Ibada ya kwanza
             Mafunzo maalum ya imani ya kristo
              09:30-10:00
         Ibada ya pili
             10:00am-7:30am
Jumatatu
             Idara ya Ca's       10:00pm-12:00pm
Jumanne
            Ibada ya WWK  10:00pm-12:00pm   
Jumatano
            Bible study         10:00pm-12:00pm
Alhamisi
            Mazoezi ya kwaya 9:00pm-12:00pm
Ijumaa
            Ibada ya Maombi 10:00pm-12:00pm
Jumamosi
            Mazoezi ya kwaya 9:00pm-11:00pm
            Praise team(Asafu) 11:00pm-12:00pm