Yamebaki masaa 16 kuufikia mwaka 2019.Usiku wa leo Morogoro yote tutakusanyika katika kanisa la New Jerusalem Christian Center (Sabasaba Morogoro Tanzania). Embu wewe mtu wa Mungu usipange kukosa. Muda ni kuanzia saa 09:00 usiku njoo tumshukuru na kumtukuza Mungu wetu yeye aliye tuumba Wote mnakaribishwa
(Kambi ya waebrania)
No comments:
Post a Comment